Back to home

Shule ya msingi ya Kombuni yaanza kupanda mboga na miti ya matunda

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 29, 2025
3h ago
Katika Kaunti Ndogo ya Kalama, kaunti ya Machakos shule zimekuwa mstari wa mbele kupambana na njaa. Shule ya Msingi ya Kombuni imeanza kupanda mboga na miti ya matunda, si kwa masomo pekee bali pia kuhakikisha wanafunzi wanapofungua shule, chakula tayari kipo. Subscribe and wat
Advertisement