Back to home

Wakazi wa Nandi wahamasishwa kuhusu afya na hatari ya ulevi kupitia mafunzo ya NACADA

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 29, 2025
3h ago
Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya (NACADA), kwa ushirikiano na Idara ya Kitaifa ya kudhibiti Magonjwa, imeendesha mpango wa kuhamasisha wakaazi wa Nandi kuhusu magonjwa yanaysababishwa na ulevi.
Advertisement