Back to home
Ajali yaua 9 Karai kwenye barabara kuu ya Nairobi - Nakuru
video
C
Citizen TV (Youtube)January 5, 2026
1d ago
Zaidi ya watu 20 wamefariki kwenye ajali za barabarani katika siku nne za kwanza za mwaka huu wa 2026. Idadi hii ikiongezeka baada ya watu 9 kufariki kwenye ajali ya jana usiku katika eneo la Karai kwenye barabara kuu ya Nairobi - Nakuru.
Advertisement
Advertisement



