Back to home

Wazee walalamikia kutopewa stakabadhi muhimu Homa Bay

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 6, 2026
2d ago
Wazee kutoka maeneo ya mashinani na wanaoishi na ulemavu katika vijiji mbali mbali kaunti ya Homa bay wanalalamikia changamoto wanayopitia ya kukosa stakabadhi muhimu ikiwemo hati miliki ya ardhi na kitambulisho.
Advertisement