Back to home

Wasichana walioacha shule kutokana na mimba za mapema waeleza uchungu wanayopitia

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 6, 2026
1d ago
Baadhi ya wasichana walioacha shule kutokana na mimba za mapema wameelezea uchungu wa unyanyapaa na ubaguzi ambao mara nyingi hupitia kutoka kwa familia na jamii. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news
Advertisement