Back to home
Uchaguzi wa viongozi wa KUPPET Kisii
video
C
Citizen TV (Youtube)January 7, 2026
1d ago
Siku tano tu kabla ya wanafunzi wa sekondari ya juu kuripoti katika vyuo mbalimbali, muungano wa walimu KUPPET tawi la Kisii unasema kuwa wazazi wengi wamekanganyikiwa kwani barua ambazo walipokea hazitoi mwelekeo kuhusu mkondo wa taaluma ambazo watoto wanafuata katika shule wana
Advertisement
Advertisement





