Back to home
Ida Odinga awataka viongozi wa ODM kusitisha uhasama
video
C
Citizen TV (Youtube)January 7, 2026
1d ago
Mkewe marehemu Raila Odinga, mama Ida , amejitosa kwenye malumbano yanayoshuhudiwa ndani ya chama cha ODM, sasa akiwataka viongozi wanaolumbana kuacha uhasama wao. Ida sasa akiwashauri kutatua tofauti zao badala ya kuvuruga chama. alizungumza wakati wa kumbukumbu ya marehemu mume
Advertisement
Advertisement




