Back to home

Wafanyakazi kadhaa wa Kitui Flour Mills wamelalamikia mabadiliko ya mfumo wa kusimamia vibarua

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 9, 2026
15h ago
Wafanyakazi kadhaa wa Kitui Flour Mills Mombasa wamelalamikia mabadiliko ya mfumo wa kusimamia vibarua, baada ya kampuni hiyo kutoa kandarasi kwa kampuni nyingine kusimamia shughuli za uajiri. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told
Advertisement