Back to home

Matokeo ya wanafunzi 1,180 yamebatilishwa kwa udanganyifu wa mtihani

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 9, 2026
12h ago
Matokeo ya zaidi ya wanafunzi elfu moja yamefutiliwa mbali kwenye matukio ya mtihani wa KCSE wa mwaka jana. Hii ni kufuatia visa vya udanganyifu vilivyoripotiwa wakati wa mtihani huu.
Advertisement