Back to home
Makundi mawili ya vijana yakabiliana nje ya kanisa Gatundu, Gachagua ailaumu serikali
video
C
Citizen TV (Youtube)January 11, 2026
4h ago
Kizaazaa kilishuhudiwa baada ya Ibada ya jumapili iliyohudhuriwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua kusitishwa kwa muda baada ya makundi mawili ya vijana kukabiliana katika eneo la Gatundu South, kaunti ya Kiambu. Gachagua aliyeshutumu matukio hayo akiwalaumu mahasimu wake wa kisi
Advertisement
Advertisement




