Back to home

KMPDC wachunguza kisa cha msichana 17 aliyejeruhiwa Ruai

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 11, 2026
5h ago
Maafisa wa bodi ya madaktari nchini KMPDC wanachunguza kisa ambapo binti mmoja wa miaka 17 amewachwa na vidonda vibaya baada ya kutibiwa katika hospitali moja ya kibinafsi eneo la Ruiru. Binti huyu sasa akilazimika kulazwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta kwa matibabu zaidi.
Advertisement