Back to home

Tume ya huduma za mahakama JSC yapiga msasa wanaonuia kuwa majaji wa Mahakama Kuu na ile ya rufaa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 12, 2026
3h ago
Tume ya huduma za mahakama imeanza mahojiano ya kujaza nafasi za majaji wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu. Hatua hii ikiwa sehemu ya kuimarisha utendakazi wa idara ya mahakama kwa kuongeza nguvu kazi na uwezo wa kushughulikia mirundiko ya kesi mahakamani. Miongoni mwa wanaohoj
Advertisement