Back to home

| MWENGE WA KAUNTI | Ruwaza ya Uchumi 2026

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 13, 2026
2h ago
Mwelekeo wa uchumi wa taifa kupitia utendaji wa kaunti kwa nini mwananchi haoni mabadiliko kwenye mfuko wake? Mara kwa mara uchumi unasemekana kwamba unakua sera na bajeti zinavyoweza kuleta manufaa kwa wakenya
Advertisement