Back to home
Maafisa wa NACADA wanasa pombe yenye thamani ya ksh.13m kaunti ya Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)January 13, 2026
3h ago
Maafisa wa Mamlaka ya kupambana na mihadarati na dawa za kulevya nchini NACADA wamenasa pombe haramu yenye thamani ya shilingi milioni 13 katika soko la Kabaa kaunti ya Machakos .
Advertisement
Advertisement




