Back to home

Wezi wavamia kanisa Kirinyaga na kuiba mashine yenye thamani ya takriban Sh40,000

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 9, 2026
15h ago
Wakazi wa Kijiji cha Kibingo, kaunti ya Kirinyaga, wamezua taharuki kutokana na ongezeko la ukosefu wa usalama kufuatia kisa cha wizi katika Kanisa la Love of Jesus Ministry. Kulingana na kasisi wa kanisa hilo, Mchungaji Mugendi, wezi walivamia kanisa hilo Jumatano usiku na kuib
Advertisement