Back to home
Wajane wajengewa nyumba Kanduyi kaunti ya Bungoma
video
C
Citizen TV (Youtube)January 13, 2026
3h ago
Serikali imetakiwa kuongeza mgao wa pesa kwa wazee kutoka shilingi alfu mbili hadi shilingi alfu kumi ili kukidhi mahitaji ya wazee hao kutokana na gharama ya juu ya maisha.
Advertisement
Advertisement





