Back to home

Waziri wa maji Eric Mugaa abatilisha kandarasi ya mfumo wa majitaka mjini Meru

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 13, 2026
2h ago
Waziri wa maji na unyunyiziaji mashamba Eric Mugaa amemwachisha kazi mwanakandarasi aliyekuwa akijenga Mtambo wa majitaka wa mji wa Meru eneo la Rwanyange kwa sababu ya utepetevu.
Advertisement