Back to home

Gor Mahia waibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Murang’a Seal Kasarani

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 14, 2026
2h ago
Gor Mahia ilitoka nyuma na kuifunga Murang'a seal 3-2 katika mechi ya ligi kuu ya taifa ya kandanda iliyochezwa katika uwanja wa Kasarani . Seal ilichukua uongozi wa mabao 2-0 kabla ya Gor Mahia kufunga tatu katika kipindi cha pili.
Advertisement