Back to home
Mradi wa maji shuleni Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)January 15, 2026
2h ago
Wanafunzi wa Shule ya Umma ya Senior Chief Mutunkei iliyoko Kajiado Mashariki, pamoja na wakazi wa eneo hilo, wamepata tabasamu baada ya kuchimbiwa kisima cha maji na shirika lisilo la serikali. Mradi huo, uliozinduliwa na Gavana wa Kaunti ya Kajiado, Joseph Ole Lenku, unalenga k
Advertisement
Advertisement




