Back to home
Raia wawili wa Uturuki watuhumiwa kufadhili ugaidi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 15, 2026
3h ago
Raia wawili wa uturuki ambao ni wakimbizi na wafanyabiashara wataendelea kuzuiliwa kwa siku 14 ili kutoa fursa kwa maafisa wa polisi kitengo cha ugaidi kukamilisha uchunguzi.
Wawili hao wanaokabiliwa na tuhuma za kufadhili ugaidi walikamatwa na kufikishwa katika mahakama ya momba
Advertisement
Advertisement
![| MASKANI NA RASHID | Maendeleo Kaskazini Mashariki [ Part 2 ]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-MASKANI-NA-RASHID-_1768468349-16x9.jpg)

![| MASKANI NA RASHID | Maendeleo kaskazini Mashariki [ Part 1 ]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-MASKANI-NA-RASHID-_1768468350-16x9.jpg)


