Back to home
Wafugaji na wakulima kupata tahadhari za mafuriko Tana river
video
C
Citizen TV (Youtube)January 15, 2026
3h ago
Wafugaji na wakulima katika kaunti ya Tana River sasa watakuwa wanapokea jumbe za tahadhari za mapema kupitia simu zao za rununu ili kujiandaa vilivyo na athari za mafuriko ama kiangazi.
Akizindua awamu ya pili wa mradi wa Wiser - Kenya, msimamizi wa mradi huo Philip Omondi amese
Advertisement
Advertisement


