Back to home
Vijana wakutana Mombasa kujadili utekelezwaji wa miradi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
2h ago
Vijana kutoka kaunti sita za pwani wamefanya mkutano huko mombasa na kuhusishwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na mazungumzo yanayolenga umoja wa taifa.
Wakizungumza baada ya kikao hicho cha faragh huko nyali wametaka mradi wa nyota kuwafaidi vijana wote nchini
Advertisement
Advertisement



