Back to home

Familia ya Makongeni, Thika yaomba uchunguzi kufuatia kifo cha kijana aliyeanguka kutoka jengo

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 16, 2026
2h ago
Familia moja huko Makongeni, thika inataka uchunguzi wa kina kufanywa kufuatia kifo cha mwana wao ambaye aliaga dunia baada ya kuanguka kutoka jengo mtaani humo. Familia ya Dec Muniko, inadai kuna uwezakano kuwa kijana huyo alisukumwa na polisi wakati walikuwa wakiendesha operesh
Advertisement