Back to home
Msaada wa chakula Tana River huku ukame ukiendelea kuathiri maeneo mengi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 19, 2026
2h ago
Familia zaidi ya 1700 kutoka eneo la Chewele kaunti ya Tana River zimepokea msaada wa chakula kutoka shirika la msalaba mwekundu ambalo limeshirikiana na mashirika mengine ili kukidhi mahitaji ya uhaba wa chakula kutokana na ukame.
Advertisement
Advertisement



