Back to home
Wizara ya uwekezaji na viwanda kuwekeza zaidi Kwale
video
C
Citizen TV (Youtube)January 19, 2026
2h ago
Wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda imetaka waekezaji zaidi kujitokeza na kuekeza katika viwanda vya kuongezea thamani ya nazi ili kupiga jeki upanzi wa minazi ili kuimarisha faida kwa wakulima
Advertisement
Advertisement




