Back to home

Tetesi za shamba la Bura

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 19, 2026
2h ago
Wanachama wa shamba la kijamii la Bura kaunti ya Taita Taveta wanatoa wito kwa uchunguzi wa kina kufanywa kuhusu usimamizi mbaya wa fedha zinazokusanywa kwenye shamba hilo.
Advertisement