Back to home

Makundi 2 yamekuwa yakizozana kwa muda huko Tete, Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 19, 2026
4h ago
Kwa muda wa juma moja Wakaazi wa kijiji cha Kizingitini na Mbwajumwali kaunti ya Lamu walikuwa wameekeana mipaka, watu wa mbwajumwali hawezi kufika Kizingitini na wakaazi Kizingitini hawezi kufika Mbwajumwali baada ya vijana katika vijiji hivyo kushambuliana kwa mapanga.
Advertisement