Back to home

Mashirika ya haki yakosoa uchaguzi Uganda, yakiitaka jamii ya kimataifa kuingilia

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 19, 2026
8h ago
Mashirika ya kutetea haki nchini sasa yameutaja ushindi wa Yoweri Museveni kwenye uchaguzi wa wiki iliyopita nchini uganda kuwa wa uwongo, wakiutaja uchaguzi huo kama operesheni dhidi ya wapinzani wa serikali. kwenye kikao na wanahabari hapa Nairobi, mashirika haya yakiongozwa na
Advertisement