Back to home
Shule za Isiolo zakosa walimu na vifaa vya CBE
video
C
Citizen TV (Youtube)January 19, 2026
1d ago
Kwenye taarifa yetu maalum kuhusu mtaala wa CBE, Huku mpito wa kuingia sekondari ya juu ukiendelea, baadhi ya shule katika kaunti ya Isiolo bado zinasoma bila vifaa muhimu . Baadhi ya shule za sekondari msingi tulizotembelea hazina madawati, maabara wala vipakatalishi.
Advertisement
Advertisement


