Back to home

Mhudumu wa BodaBoda apigwa na kuuawa mjini Webuye

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
5h ago
Wahudumu wa bodaboda mjini Webuye wamelalamikia kudorora kwa hali ya usalama mjini humo na viunga vyake hasa baada ya kuuawa kwa mmoja wao usiku wa kuamkia jumapili. Mwili wa marehemu ukipatikana na majeraha mabaya katika eneo la weighbridge mjini humo.
Advertisement