Back to home

Mifupa ya binadamu imepatikana eneo la Karai, Kikuyu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
9h ago
Hali ya Wasiwasi imetanda katika Kijiji cha Karai, eneo bunge la Kikuyu, Kaunti ya Kiambu, baada ya mifupa inayokisiwa kuwa ya binadamu kupatikana katika uwanja wa Karai. Eneo hilo lina mabwawa na vyanzo vya maji, na hutumiwa na wakazi pamoja na watu kutoka maeneo jirani, hali
Advertisement