Back to home

Ufadhili wa wanafunzi maskini

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 21, 2026
3h ago
Naibu gavana wa kakamega anaitaka serikali kuu kuanzisha mikakati ya kuwafadhili wanafunzi wasiojiweza kupata elimu ya sekondari ya juu na chuo kikuu. Kiongozi huyo anasema kwamba familia nyingi sasa zinatafuta msaada kutoka kwa viongozi wa kisiasa ili kuwapeleka watoto wao shule
Advertisement