Back to home
Ushauri kwa walimu Mwingi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 21, 2026
5h ago
Mbunge wa Mwingi Kaskazini Paul Nzengu amewahimiza walimu kuwaruhusu wanafunzi kuendelea kusalia shuleni licha ya kukosa karo haswa wakati huu ambapo shule zinakabiliwa na uhaba wa fedha mbali na ukame kushuhudiwa katika maeneo mengi ya ukambani
Nzengu alizungumza katika Wadi ya
Advertisement
Advertisement




