Back to home

Waziri Duale azionya hospitali zinazowatapeli wagonjwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 22, 2026
3h ago
Waziri wa afya Adan Duale amewaonya wanaufanya ulaghai kwenye sekta ya afya kupitia malipo ya SHA kwa kuzidisha bei ya dawa na utengenezaji wa bili ya hospitali kwa huduma ambazo si za kweli kwa wagonjwa.
Advertisement