Back to home
Kisunzi cha gredi ya 10
video
C
Citizen TV (Youtube)January 22, 2026
3h ago
Serikali inapojizatiti kutumia machifu na manaibu wao kuzuru vijiji na kushauri familia ambazo zingali kupeleka wana wao kujiunga na gredi ya Kumi kufanya hivyo, wengi wa wanafunzi hao wangali nyumbani wakililia gharama ya masomo. Baadhi ya wanafunzi na wazazi wao wakianza kukata
Advertisement
Advertisement





