Back to home

Jubilee yafanya mageuzi, Kioni apandishwa, Ole Kenta achukua Katibu Mkuu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 22, 2026
2h ago
Chama cha Jubilee kimefanya mageuzi ya viongozi wake huku Jeremiah Kioni akihamishwa kuwa mmoja wa manaibu kinara wa chama hicho, nafasi yake ya Katibu Mkuu ikipewa mbunge wa zamani Moitalel Ole Kenta. Kwenye kikao kilichofanyika katika makao makuu ya chama hicho, naibu kinara wa
Advertisement