Back to home
Mbunge wa Mwala Vincent Musyoka asema Ukambani itabaki nyuma ikiwa litasali upinzani
video
N
NTV Kenya (Youtube)January 23, 2026
3h ago
Mbunge wa Mwala Vincent Musyoka amtetea Rais Ruto akisema atashinda uchaguzi wa 2027.
Aongeza kwamba eneo la Ukambani litaendelea kusalia nyuma kimaendeleo iwapo litasalia kwa siasa za upinzani.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as tol
Advertisement
Advertisement



