Back to home

IEBC yaanza kuwaidhinisha wagombea walioonyesha nia ya kugombea kiti cha ubunge Isiolo Kusini

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 23, 2026
2h ago
Kinyang’anyiro cha kiti cha ubunge katika eneo bunge la Isiolo Kusini sasa kimeanza rasmi baada ya IEBC kuanza shughuli ya kuwaidhinisha wagombea walioonyesha nia ya kugombea kiti hicho. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ke
Advertisement