Back to home
Gor Mahia Fc wakutana na Bidco United kesho Kasarani
video
C
Citizen TV (Youtube)January 23, 2026
2h ago
Viongozi wa ligi kuu ya taifa ya kandanda Gor Mahia Fc watamenyana na Bidco united kesho katika mechi ya ligi kuu itakayoanza saa kumi alasiri katika uwanja wa Kasarani. Gor wanajua lazima washinde kesho ili kuimarisha nafasi yao kwenye kilele cha ligi ambayo kwa sasa iko na ushi
Advertisement
Advertisement





