Back to home

Nairobi United yafanya mazoezi mepesi kabla ya kukabili Azam ya Tanzania

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 24, 2026
9h ago
Timu ya Nairobi united leo iliandaa mazoezi mapesi uwanjani nyayo kabla ya kuikabili azam ya Tanzania hapo kesho katika mechi ya tatu ya raundi ya makundi ya kombe la mashirikisho barani Afrika
Advertisement