Back to home

Waziri Duale atetea uteuzi wa maafisa wakuu wa SHA katika kaunti

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 24, 2026
9h ago
Waziri wa afya Aden Duale ametetea vikali uteuzi wa maafisa wakuu wa huduma za SHA katika kaunti mbalimbali, kufuatia malalamiko kutoka kw aumma kuhusu maafisa wengi walioteuliwa kutoka eneo moja la nchi. Duale amesema kuwa kazi zilitolewa kulingana na tajriba na ustahili. Duale
Advertisement