Back to home

Hospitali ya Kitengela yalaumiwa kwa kumwacha mama ambaye mtoto alifariki tumboni

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 24, 2026
8h ago
Hospitali ya Kitengela ya level 4 hii leo imejipata kwenye darubini kwa tuhuma za kukataa kumhudumia mama mmoja ambaye mtoto wake alifariki tumboni siku tatu zilizopita. Mwanamke huyo, abigael mutubula anasema kuwa alifanyiwa ukaguzi hospitalini na kuarifiwa kuwa mwanawe alikuwa
Advertisement