Back to home

Safari ya matumaini: Frida Cherop apata alama B- kwenye mtihani wa KCSE, miaka 15 baada ya kupata D+

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 24, 2026
9h ago
Ndoto yake ya kuwa muuguzi iligonga mwamba mwaka wa 2010 baada ya kutofanya vyema katika mtihani wa kitaifa wa KCSE ambapo alizoa alama ya D+ ,ambayo haingemwezesha kusomea taaluma ya uuguzi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by
Advertisement