Back to home
Onyo kwa walimu wakuu: serikali yaagiza kuheshimu agizo la Rais
video
C
Citizen TV (Youtube)January 25, 2026
8h ago
Serikali sasa imewaonya walimu wakuu wanaodinda kuwasajili wanafunzi wa gredi ya 10 kuwa wataachishwa kazi. Waziri wa elimu Migos Ogamba na Naibu Rais Kithure Kindiki wakizungumza kwenye hafla tofauti wakiwataka walimu kutii agizo la Rais William Ruto kuwataka kuwasajili wanafunz
Advertisement
Advertisement





