Back to home

Naibu rais Kithure Kindiki aongoza mashambulizi dhidi ya upinzani

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
8h ago
Viongozi wa Kenya Kwanza wakiongozwa na naibu wa rais Kithure Kindiki wamemkashifu aliyekua naibu wa rais Rigathi Gachagua kwa matamshi yake ya kupinga miradi wa serikali. Viongozi hao wamesema matamshi ya Gachagua kuwa atasitisha baadhi ya miradi ya serikali iwapo atachaguliwa r
Advertisement