Back to home

Wakazi wa Kaya Fungo Mbalamweni walalamika kuhangaishwa na wanyakuzi wa ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
9h ago
Wakazi wa Kaya Fungo Mbalamweni eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi wamefanya maandamano wakilalamikia njama ya unyakuzi wa ardhi ya ekari 400. Wakazi hao wanadai licha ya kupata hati miliki za ardhi, kundi tofauti limejitokeza likidai umiliki. Hali hii imezua wasiwasi miongo
Advertisement