Back to home

Viongozi Taita Taveta wasema wataunga mkono serikali wanufaike

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
13h ago
Wabunge wa kitaifa kutoka kaunti ya Taita Taveta wamesema watafanya kazi kwa karibu na rais William Ruto kwa minajili ya maendeleo ya wananchi wa kaunti hiyo. Wakizungumza wakati wa hafla ya kupeana basi la shule ya upili ya Ngami huko Mwatate lililotolewa na rais, wabunge hao Pe
Advertisement