Back to home
Gavana wa Vihiga ahojiwa na Kamati ya Seneti kuhusu sherehe ya Sh5 milioni ya ufunguzi wa nyumba
video
C
Citizen TV (Youtube)January 26, 2026
1h ago
Gavana wa Vihiga Wilber Ottichilo amelaumiwa vikali kufuatia ripoti za kutumia shilingi milioni tano kwa sherehe ya ufunguzi wa nyumba ya spika wa kaunti hiyo. Kamati ya uhasibu ya bunge la seneti ikimshutumu Ottichilo kwa ufujaji wa pesa za umma.
Advertisement
Advertisement


