Back to home
Faith Kipyegon aanzisha ujenzi wa hospitali ya kujifungulia kwa kinamama Nakuru
video
N
NTV Kenya (Youtube)January 26, 2026
3h ago
Malkia wa mbio za 1500 duniani na Olimpiki Faith Kipyegon aliweka jiwe la msingi kuashiria
kuanzisha rasmi kwa ujenzi wa hospitali ya kujifungulia kwa kinamama huko Keringet kaunti ya Nakuru.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told
Advertisement
Advertisement





