Back to home

Mwalimu na chifu wauawa Garissa, operesheni ya usalama yaanza

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
1h ago
Watu wawili wameuawa kwenye shambulizi lililotokea katika eneo la Hulugho kaunti ya Garissa. Miongoni mwa waliouawa kwenye shambulizi hilo ni Chifu wa eneo la HILO Abdifatah Gani na Mwalimu Stephen Musili kutoka Shule ya msingi ya Hulugho
Advertisement